Hii ni tafsiri ya matini asilia ya Kiajemi. Matini asilia kwa Kiajemi

Majlisi ya rambirambi ya marjaa mtukufu Ayatullah Haj Sheikh Ishaq Fayyaz itafanyika usiku wa leo (Ijumaa, 22 Khordad) kwa niaba ya Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu mjini Qom. Hafla hii itafanyika baada ya Sala ya Magharibi na Isha katika ukumbi wa sala wa Imam Khomeini (Mwenyezi Mungu amrehemu) ndani ya Haram tukufu ya Bibi Fatima Maasuma (amani iwe juu yake).